Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Kama hujawai ombewa ukapona unapata wapi nguvu ya kupinga? thibitisha kwanza
Mimi sijawahi kuumwa toka niwe baa akili za kujielewa sijui utotoni...

Nithibitishe nin wakati hao wanaowaombea ndio hata wakivunjika kucha wanakimbilia india
 
Sawa` una maana hauna imani na wachungaji' sasa sio wote wanaombewa na wachungaji na pia sio lazima uombewe na mchungaji maana hakuna cha pekee alicho nacho we huna.. weka imani omba mwenyewe utapona..
 
Ufunguo una matumizi mawili kufungua na kufunga,ukiona unaelimu alafu haujafanikiwa kimaisha basi ujue uliitumia funguo yako kufungia maisha sio kufungulia
Mada inazungumzia kutaja vitu visivyo na ukweli ila watu wamekariri,sasa wewe mkuu bado unaendeleza kupamba hilo suala ambalo halina ukweli wakati uhalisia unajulikana.
 
Unataka uthibitisho wa jambo gani ndio uelewe kama upo?

Na wewe Tupe uthibitisho kama haupo?
Uthibitisho kuwa uchawi upo na unafanya kazi kama inavyodaiwa.

Niroge mimi nipate malaria, corona, au kisonono au kwa namna ingine yoyote ile itayonithibitishia kuwa upo kweli na unafanya kazi.
 
Nani amekwambia mimi mchawi/mganga mpaka nikuroge..?

Mbona unaleta vitu ambavyo havipo..! nimekwambia thibitisha kama uchawi haupo..?
 
Sawa` una maana hauna imani na wachungaji' sasa sio wote wanaombewa na wachungaji na pia sio lazima uombewe na mchungaji maana hakuna cha pekee alicho nacho we huna.. weka imani omba mwenyewe utapona..
Hakuna kitu kama hicho...maombi hayawezi kumponya mtu kwa njia yoyote ile,hakuna connection yoyote eti neno liongeze kinga za mwili wangu how?? Kubalini tu huu mradi wa dini mmepigwa
 
Sawa! hauamini uwepo wa mungu na hiyo nadhani ni mada nyingine
 
Ukimwombea mgonjwa anapona

Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Boss..iman ni dawa..! Unapomwombea mgonjwa plus na kunywa dawa..imani yake inakuwa mara dufu Zaid..sala zile zinakuwa ni tiba ya wasiwsi kwa mgonjwa ..wakati dawa za hospitali unazotumia zinakuwa tiba ya misuli tu.

So usidharau nguvu ya maombi kwa mgonjwa.
 
Back
Top Bottom