Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Kisichopo kinathibitishwaje?
Sasa kama huna idea ya kufanya uchunguzi zaidi yakutegemea uthibitisho na hujachunguza chochote kuhusu uchawi unapata wapi nguvu yakukipinga kitu hicho?

upo jf unategemea uthibitisho gani tukupe?
 
Boss..iman ni dawa..! Unapomwombea mgonjwa plus na kunywa dawa..imani yake inakuwa mara dufu Zaid..sala zile zinakuwa ni tiba ya wasiwsi kwa mgonjwa ..wakati dawa za hospitali unazotumia zinakuwa tiba ya misuli tu.

So usidharau nguvu ya maombi kwa mgonjwa.
Maombi hayatibu chochote ni kupigiana kelele tu na hao wachumia tumbo
 
WASUKUMA NI WASHAMBA (ilhali watu washamba wako kwenye kila kabila. Halafu kimaendeleo Wasukuma wanayazidi makabila mengi tu kwa maendeleo, kuchapa kazi, ustaarabu/utu wema, n.k).
 
Sasa kama huna idea ya kufanya uchunguzi zaidi yakutegemea uthibitisho na hujachunguza chochote kuhusu uchawi unapata wapi nguvu yakukipinga kitu hicho?

upo jf unategemea uthibitisho gani tukupe?
Longolongo tu!

Hakuna uchawi.
 
Boss..iman ni dawa..! Unapomwombea mgonjwa plus na kunywa dawa..imani yake inakuwa mara dufu Zaid..sala zile zinakuwa ni tiba ya wasiwsi kwa mgonjwa ..wakati dawa za hospitali unazotumia zinakuwa tiba ya misuli tu.

So usidharau nguvu ya maombi kwa mgonjwa.
Kawaida msumari hutokea pale pale ulipoungilia,

Biological or Chemical diseases can only be cured Biologically or Chemically. There are no proof that the above diseases can be cured with other means including Spiritual means.
 
Back
Top Bottom