Hakuna uchawiiiUnazungumzia waganga wasanii,hata madaktari wasanii wapo na dawa feki zipo.
Uchawi ungekuwa ni kitu ambacho hakina uhalisia basi hii biashara ya uganga ingekuwa haina nafasi,kwa sababu watu wangekuwa wanaenda ila hawaoni athari kwa kile walichoendea kwa mganga na hivyo wangeacha kwenda kwa waganga.
Kama hivyo ndio unavyoamini basi ni haki yako kuamini upendavyo,unaweza kuamini vyovyote upendavyo ila ukija kwenye uhalisia uchawi upo.Hakuna uchawiii
Hamna uchawiiiKama hivyo ndio unavyoamini basi ni haki yako kuamini upendavyo,unaweza kuamini vyovyote upendavyo ila ukija kwenye uhalisia uchawi upo.
Tutajie tiba za hayo magonjwa.Ukimwi ni ugonjwa usio na tiba = uongo wa kiwango cha lami.
Kansa haina tiba = uongo uliopita kiwango.
Sawa hakuna shida.Hamna uchawiii
Kwa nguvu au vizuri?Etii demu ukimgonga kwa nguvu ndio atokuachaa!!!!!!!
Siyo maneno yanayoponesha,ni nguvu kutoka kwa anayeombwa ,yeye ndoa aponyeshayeHakuna kitu kama hicho...yani maneno yakuponueshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli waafrica ipoo shidaa
Huyo aliekuombe akipata homa tu unamkuta kwenye foleni za mloganzila
Yesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Uchaguzi mkuu 2020 Upinzani wameibiwa Kura
Tumedanganywa sana kuwa Dunia inazunguka1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3.tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Yesu wangu!Ukimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Mungu ana nafsi tatu,Yesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Ni yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Eti T.A.L alidhulumiwa Kura, aaaaah huo ni ushamba.