BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,228
- 4,200
Kosa. Unapiga chini ya Mkanda. Heshimu Imani za Wenzio.Yesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Kosa. Unapiga chini ya Mkanda. Heshimu Imani za Wenzio.Yesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
...Miguu ikikuwasha Utasafiri...!Mkono ukiwasha utapata hela
...Ina kuhusu nini Mkuu? Unakereka?Yesu sio Mungu wala mwana wa Mungu. Haijawahi kutokea na haitakuja iwe
Tena ni uwongo ulioshinda uongo wote duniani.Ukimwi ni ugonjwa usio na tiba = uongo wa kiwango cha lami.
Kansa haina tiba = uongo uliopita kiwango.
Kaibe kwa mpemba.Na mimi nasisitiza hili hakuna uchawi na haujawahi kuwepo
Siku utakayokufa ndo utajua ujui [emoji3][emoji3]Siamini uwepo wa Mungu..mimi najua ni hadithi tu za kale
Aisee1. Dunia duara
2. Sayari zipo 8
3. Upepo, Ardhi, Maji, Mwanga sio viumbe hai
4. Bahari haina mwisho
[emoji121][emoji121] Uongo wa kiwango cha tsunami.
Nachana zaidi ya wembe kama mwerevu usinishangae.AMBAKATI CHEMBE KIDEVU LAZIMA UKAE.
Vitabu vya dini wanavyoshika viongozi wakati wa kuapishwa kumbe ni majalada tuu ndani hamna kitu1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3.tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Kumbe kinachotokea ni nini maana mimi huwa naombewa na kuponaMzima kabisa na nasisitiza maombi hayawezi kumponyesha yoyote yule abadan
Mkuu achana nae huyo,huyo ni type za wale Ant Christ.Kumbe kinachotokea ni nini maana mimi huwa naombewa na kupona
Wewe Masalakulangwa unaumwa wewe.Hakuna uchawi.