HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,230
NI MunguWachambuzi wa ngumi aina ya VITASA za Azam kuita aina ya upigaji ngumi wa UPPER CUT kuwa AMBAKATI
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
NI MunguWachambuzi wa ngumi aina ya VITASA za Azam kuita aina ya upigaji ngumi wa UPPER CUT kuwa AMBAKATI
Matako kutetema/laini eti unaliwa ndogo,, si kweli kabisa
NdioYako yana tetema?
Ndio
Sijawahi kosa hela nikiwashwa left-handMkono ukiwasha utapata hela
Nchi gani iyo najua wewe hip-hopMwendawazimu ama kichaa hawezi kufanya kazi ni uongo hasa!
Kuna nchi Afrika mashariki Mwendawazimu kawa rais kabisa! Anasumbua mno!
Jicho gani?Jicho likicheza Kuna kitu kitatokea
Mganga uyoHivi nimekufananisha au ni wewe!?
Nakumbuka nyuma nyuma enzi natumia ID yangu ya zamani nilisoma post yako ya kwamba una vipaji vingi sana... vipi bado ni vilevile au kuch nehi?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wewe unayesema hayupo ndo utuambie kwanini.Wewe kwanini unasema yupoo?
Tukusikilize labda una hoja za maana
Miaka ya 90 (1990's) waathirika wengi wa UKIMWI walikufa kwa sababu za kijinga kama hizi!Ukimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3.tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Ngoja ije uugue ndio utatutafuta sisi waombaji. Usilete mzaha na kazi ya MunguUkimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Ni 'mpambe' si 'niliyekuwa mgonjwa'!!Kama unabishana na mimi niliyekuwa mgonjwa.basi tena sikuwezi
Ni kweli, kazaa watoto saba, duu!!!Hata saizi hapa saizi naona Simba anazaa,mvua inanyesha najua linapiga.....nafanya jitihada kujua ni mbuga gani huko
Jicho Hilo linalokufanya uoneJicho gani?