Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Kwamba ukinyoosha kidole makaburini inakubd ukiume icho kidole la cvyo kitavimba.
 
Kuna magonjwa mbalimbali,kama n magonjwa yanayotokana na vijidudu hata uombewe na mashekhe na pastor wa tz nzima huponi,lakin kama ugonjwa umetokana nguvu za Giza utapona hata ukiombewa na mim
Huyo alieombewa pumu tumdunge sindano ya vvu ili akaombewe nasi tuamini.
 
Mpinga Kristo yupo hata sasa,rejea 1Yohane 4:3.

Watu weusi (waafrika) ni strong kuliko wazungu.
Huamini holo? We hujasoma vizuri maandishi.Nenda kaangalie mabondia muhamadi ali,Tyson ,ndio utajua watu wesi wana nguvu ila hawana akili.Nenda kaangalie na kikapu mchezo unaohitaji nguvu nyingi.Nani amebaki anatumia jembe la mkono duniani kama sio black, tungekuwa hatuna nguvu tungebuni jembe la mashine.
 
Kwamba Yanga anaweza kuwa bingwa wa ligi Tanzania bara...
 
Mimi nimeona wewe unasema kabisa kuwa hayupo na ndio sababu ya kuuliza umewezaje kujua kuwa hayupo? Sasa huwezi tena kuniambia nikwambie alipo wakati wewe umesema hayupo.

Nachotaka ueleze umejuaje kuwa hayupo hadi ukatoa madai ya kuwa hayupo?
Niwasaidie kwa logic.Nimejua kuwa hayupo kutokana na hadithi zako za yupo, usingehadithiwa kuwa yupo usingejua kuwa yupo, it is not your experience.Yesu/ Muhammad(SA) alipata revelation ( Njozi) au ufunuo ambao sio wote wanapata. Yupo au hayupo ni mawazo tunayopojea, kwa hio unaweza kuamini au usiamini.
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3.tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Idadi ya wanawake duniani ni mara nne ya idadi ya wanaume
 
Eti hakuna binadamu aliyewahi kufika mbinguni na kurudi tena kunako dunia!
Fact: binadamu alishafika kule na anajua kulivyo.
 
Back
Top Bottom