Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Niwasaidie kwa logic.Nimejua kuwa hayupo kutokana na hadithi zako za yupo, usingehadithiwa kuwa yupo usingejua kuwa yupo, it is not your experience.Yesu/ Muhammad(SA) alipata revelation ( Njozi) au ufunuo ambao sio wote wanapata. Yupo au hayupo ni mawazo tunayopojea, kwa hio unaweza kuamini au usiamini.
Mkuu mimi kudai kwangu kuwa yupo au kusema yupo ni imani,na kuna dalili na sababu za kuamini hivyo na ndiyo maana kuna watu ambao nao wanaamini hivyo ingawa wao si wafuasi wa Muhammad wala Yesu.

Sasa hawa wanasema kuwa hayupo na ndio maana sie tunaosema yupo hatuwezi kuthibitisha kuwa yupo.
 
Yesu yupo juu mbinguni na kuna siku atashuka.
 
Mkiwa mnapiga kelele darasan ala wote mkanyamaza kimya ghafla bila sababu eti maana yake shetani kapita
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3.tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
1.Vituo vyote vinavyotoa huduma ya kuuza nishati ya vyombo vya moto kuitwa Sheli.
2.Kuwasha taa za hazard za gari kwenye kivuko cha waenda kwa miguu
 
Yesu yupo juu mbinguni na kuna siku atashuka.
Pole sana
Subiri akirudi utamuona.

Endeleeni kulishana ujinga na hao masheikh wenu mumsubiri Muhammad aliyewahi viwanja wakati naye anamsubiri Yesu huyohuyo na hatma yake anaijua Massiah
 
Pole sana
Subiri akirudi utamuona.

Endeleeni kulishana ujinga na hao masheikh wenu mumsubiri Muhammad aliyewahi viwanja wakati naye anamsubiri Yesu huyohuyo.
Nyie na hao kina muddy hamchekani,niwatunzi tu tofauti waliamua kubadilisha characters na nafasi zao
 
Back
Top Bottom