Ee huyo huyo aliyewaambia wafuasi wake waoe mwisho wanawake wanne,wakati yeye alikuwa nao kumi na moja,lkn baadaye akabaki nao tisa.
Yesu ni Mungu! Utake,usitake,ubishe...ndivyo ilivyo na hakuna wa kubadirisha!Yesu ni mungu...lakini inajulikana wazi Yesu yeye si Mungu... wala mwana wa Mungu..
Unamaanisha jamaa alipenda sana chini?[emoji848][emoji848][emoji848]Ee huyo huyo aliyewaambia wafuasi wake waoe mwisho wanawake wanne,wakati yeye alikuwa nao kumi na moja,lkn baadaye akabaki nao tisa.
Yesu ni nabii kwa waislamu wanamuita issaYesu ni Mungu! Utake,usitake,ubishe...ndivyo ilivyo na hakuna wa kubadirisha!
Alikufa ,Akazikwa,Akashuka kuzimu,Akafufuka,Akapaa mbinguni,Ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba,kutoka huko Atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.Babu wa babu yangu, babu yangu na baba yangu hao wote walimsubiri hadi wamekufa na hawakumuona akishuka.
Mimi ni nani nisubiri mtu asiyekuwepo mbinguni???
Yesu alikufa na kaburi lake lipo Kashmir, go and read; The Rozabal shrine in Kashmir.
Acha imani potofu kwanba Yesu yupo hai juu mbinguni na mwili wake.
Mudi alikuwa kitombi balaa,unaambiwa kuwa hao wanawake walihudumiwa kila siku na aliweza kukamilisha raundi ,aliwapelekea mkuyenge wote.Unamaanisha jamaa alipenda sana chini?[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mudi alikuwa kitombi balaa,unaambiwa kuwa hao wanawake walihudumiwa kila siku na aliweza kukamilisha raundi ,aliwapelekea mkuyenge wote.
[emoji23][emoji23][emoji23]na wewe ni mkorofi?
Hapana mamii, imejipost tu [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]na wewe ni mkorofi?
Muone[emoji1787][emoji1787]Hapana mamii, imejipost tu [emoji85][emoji85][emoji85]
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Alikufa ,Akazikwa,Akashuka kuzimu,Akafufuka,Akapaa mbinguni,Ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba,kutoka huko Atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.
Namwamini Huyo kweli ..
Siku atakayokuja hakuna aijuaye,yawezekana anavyokuja utakuwepo au hutakuwepo.
Na hao waliokufa wanasubiri yeye.
Ni suala la muda tu!
Wewe acha kupotoshwa na mafundisho ya uongo.
Yule jamaa kawauza vibaya, bahati mbaya ashajiondokea amewaacha mnahaha tu.
Wewe ndio una imani potofu.!Babu wa babu yangu, babu yangu na baba yangu hao wote walimsubiri hadi wamekufa na hawakumuona akishuka.
Mimi ni nani nisubiri mtu asiyekuwepo mbinguni???
Yesu alikufa na kaburi lake lipo Kashmir, go and read; The Rozabal shrine in Kashmir.
Acha imani potofu kwanba Yesu yupo hai juu mbinguni na mwili wake.
Habari za kusema yesu ni mungu umezitoa kwenye Biblia au kwa wachungaji wenu?Yesu ni Mungu! Utake,usitake,ubishe...ndivyo ilivyo na hakuna wa kubadirisha!
Nenda kamuulizeSi alipaa mbinguni kuwakimbia mayahudi?!!-- ashuke tena kufuata nini na mayahudi bado wangalipo!!, wakimsulubu tena??!!.
Hebu niambie huko juu bado anayo ile nguo aliyopaanayo au kashonewa nguo zingine?? Huko juu anakula nini na nani anampikia na analala vipi?? Kwa ujumla mahitaji yake ya kimwili anayapataje??? Kwakuwa mnaamini alipaaa kimwili.
Keyboard za tecno zinajitype zenyewe, me nashangaa kuona comments huku [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Muone[emoji1787][emoji1787]
Zote hizo zinajipost tu jamani [emoji23]
Usimuushishe mtume Mohammed na wajinga wachacheNenda kamuulize
Biblia haijasema kuhusu hayo.
Mohamad aliwadanganya hivyo??kuwa anaogopa kushuka?