TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,303
Wanawake wanapenda hela
Sio mbele, ni mbere[emoji3][emoji23][emoji23]Sisi ni dona kantri tutembee kifua mbele
Naomba andiko. Ila kabla ya kunipa hilo andiko, uniambie nani ameandika andiko hilo mpaka lifike kwa Yesu.Alikufa ,Akazikwa,Akashuka kuzimu,Akafufuka,Akapaa mbinguni,Ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba,kutoka huko Atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.
Namwamini Huyo kweli ..
Sasa mbona unapingana na uhalisia bibie ?Yesu ni Mungu! Utake,usitake,ubishe...ndivyo ilivyo na hakuna wa kubadirisha!
Hiyo ni sehemu ya Imani ya mitume inatotuunganisha wakristo wote duniani.Naomba andiko. Ila kabla ya kunipa hilo andiko, uniambie nani ameandika andiko hilo mpaka lifike kwa Yesu.
Hujajibu swali rahisi sana nililo kuuliza.Juu ya habari hizo kwa kukusaidia tu,nenda kasome Agano jipya injili ya Mathayo,Marko,Luka na Yohana
Allah aliye juu anasema :Leteni Aya tuone jamaa alipowadanganya kwamba Yesu hakufa na kufufuka.
Yawezekana ni kweli jamaa aliwaingiza mkenge.
Hayo maneno aliyasema nani??Allah aliye juu anasema :
157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini" (an Nisaa : 157)
Wewe niwekee andiko ambalo Yesu mwenyewe anathibitisha ya kuwa alifufuka.
Mbugila wa Lumumba.Eti Chadema ni chama cha siasa.
Kwani muhamad aliwaambia nini?Hujajibu swali rahisi sana nililo kuuliza.
Kipi kinakujulisha ya kuwa hiyo ni Injili ya Marko,Luka,Mathayo au Yohana ? Kadhalika kwa lipi unaamini ya kuwa hayo yanatoka kwa Yesu ?
Kwanini isiwe Injili ya Yesu na ikawa ya hao Wanne ?
Sasa ukinithibitishia ukweli wa hayo maswali, ndiyo unipe andiko sasa. Usilete stori na kupoteza muda.
Chain ya Dhahabu iko hivi. Malaika Mtukufu tena Muheshimiwa, amechukua maneno hayo ya Allah toka kwake, kisha yeye amemletea mtume, maana yake ni kuwa maneno ni ya Allah, ila muwasilishaji ni mtume Muhammad. Hii iko hivi kwa mitume wote na manabii woteHayo maneno aliyasema nani??
Sasa hicho kitabu cha muhamad hapo ndo alipowachota.
Allah asema wapi?alimsikia wapi kama sio uongo ni nini?
Hakuna Injili uliyo nioa sababu hakuna mwenye nayo.Nimekupa injili za kusoma.
Kasome kwanza,ukizimaliza utakuja tujadili...hiyo imani ya mtume imecombine matukio ya hizo injili.. huwezi kuielewa kama hujasoma hizo injili.
Shida ni kwamba hutaki kusoma halafu unataka kunisumbua.
Wa kushotoMkono wa kulia ukiwasha basi utapata hela!!
Umeshawahi washwa?Utapata chupi, Labda ukiwashwa na kinyeo ndio ujiandae na kif*** [emoji13]
Alicho tuambia mtume, nimeshakiweka,ni wewe tu kusoma.Kwani muhamad aliwaambia nini?
Okbi langu kwako ni lile lile, kwanza nithibitishie ukweli wa yaliyomo katika Biblia kwa kuniambia imeaandikwa na nani na chain ifike mpaka kwa Yesu. Kisha uniwekee maandiko. Bila hivyo Biblia itabaki kuwa mikusanyiko ya matukio ya Yesu na mitazamo ya kina Paulo.Funua Bible uangalie halafu uje uulize maswali yako.
Hapa ndipo mlipoangukia Pua kwa kuruhusu maoni ya watu tofauti tofauti, hali ya kuwa mnajua kabisa Yesu alikuwa mmoja, maana yake nyinyi Wakristo mlitakiwa mchukue mafundisho toka kwa Yesu peke yake, na Yesu uzuri hakuuacha huu Ukristo (Ushirikina/Upagani) bali Paulo ndiyo ameuleta Upagani, upagani ambao ubafundisha Ushirikina wa kuutukuza msalaba,msalaba ambao Taurati imeuzungumzia vibaya.Sisi huku Kwetu hatukuokotwa na mhuni mmoja tu na kuanza kulishwa matangopori.
Kama habari zenu zinaenda kwa mtiririko niambie nia nani aliandika Injili ya Marko, Luka, Mathayo na Yohana ?Sisi habari zinaenda kwa mtiririko,kuanzia utabiri wa Kristo Agano la Kale nabii Isaya alitabiri.
Wai nimejichanganya bibie ?Sasa wewe endelea kujichanganya.