Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Chain ya Dhahabu iko hivi. Malaika Mtukufu tena Muheshimiwa, amechukua maneno hayo ya Allah toka kwake, kisha yeye amemletea mtume, maana yake ni kuwa maneno ni ya Allah, ila muwasilishaji ni mtume Muhammad. Hii iko hivi kwa mitume wote na manabii wote

Hakuna Injili uliyo nioa sababu hakuna mwenye nayo.

Pili, ninekuomba unithibitishie kwanza usahihi wa maandiko hayo kisha uweke andiko. Sasa unapo kimbia swali au maswali ya msingi huku unaonyesha ya kuwa huna ushahidi juu ya hicho unacho kiamini.

Maana nitasoma vipi vitabu ambavyo hata waandishi wa vitabu hivyo hamuwajui, na ukweli wake kadhalika hamuujui, zaidi ya kukariri.

Sasa fanya kama nilivyo kuomba ufanye.
Kila Neno la Mungu limethibitishwa
Tena ni ngao kwao waaminio.
Kama Muhamad hakuwaambia basi ipo hivyo.

Hiyo malaika mtukufu sijui mheshimiwa nani mudi ndo mlipoingizwa chaka sasa.

Yaani hali iwe mbaya kwangu kwa vitu vya kipuuzi mlivyodanganywa..Sasa usipoelewa si shauri zako na huyo mtume mnayemsubiri.

Nenda kasome Biblia,huelewi na hutakaa uelewe kwa sababu hujui chochote kuhusu Kristo.
 
Nimekupa kazi uifanye naona imekushinda.

Ukiwa na majibu ya maswali yangu, nistue nija kumalizia hapo nilipo ishia.
 
Nimekwambia kasome Biblia
Usije kuniambia chochote kama kazi ndogo tu niliyokupa kukusaidia hujaifanya.
 
Mimi kazi yangu nimemaliza, ni wewe kuzingatia itifaki tu. Rahisi sana hili, ila nashangaa unapoteza muda.
 
Amina, let them know kwamba mwanadamu anaweza kuamua tu mtu flani augue ugonjwa flani, na ukahangaika mpaka ukafa, lkn kumbe ur ignorant, hukujua kwamba umeletewa ugonjwa na jiran au ndugu yako.....Damu ya Yesu haijawah shindwa kitu hata siku moja, mtu aamin ama asiamin, lkn tuu ukifaham namna ya kuitumia, na kuiamini.
Hospitali zimejaa wagonjwa, mbona hamuendi kuwaombea wapone, au wote ni wasiamini?
 
Kuwaamini kina Bushiri.
Hospital utakuta watumishi padre, shehe, wanaombea dua, sala, toba, ili endapo utakufa basi uwe ulijiandaa kiroho.

Hukuti wale watumishi matapeli wauuza maji, mafuta, chumvi au maigizo ya vilema kutembea.

Hutosikia mkutano mkubwa wa uponyaji Muhimbili. NEVER

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hospitali zimejaa wagonjwa, mbona hamuendi kuwaombea wapone, au wote ni wasiamini?
Huwa unapita hospital kila siku?
Mbona watumishi wa Mungu wengi tu huwa wanapita hospital kufanya maombi,kuongea na wagonjwa na kutoa chochote walichonacho kwa ajili ya wagonjwa.

Sema kuna watu umewalenga wewe ambao hujawaona huko ..
Ila Kama suala ni kwenda hospital kuombea, watu wengi tu Wanaenda.
Kama huamini jaribu kukaa hospital moja japo kwa wiki nzima asubuhi hadi jioni utawaona.
 
Tunazungumzia ishu ya maombi kuponya. Mbna wagonjwa hawaishi hospitali? Basi tuseme wengine hawaamini, mbona mchungaji akiugua huenda hospitali badala ya kanisani
 
Hujui Mungu anaponya kwa namna nyingi?
Hata hao matatibu wanafanya kazi on behalf of God..Anapitisha uponyaji kupitia kwao pia.
Wagonjwa hawawezi kuisha wote kwani magonjwa hulipuka kila siku na karibia kila siku mgonjwa huongezeka hospital pia muda wa kupona hutofautiana.. mwingine uponyaji wake Leo,mwingine kesho, mwingine keshokutwa.. God's timing is perfect.

Ndiyo maana Mungu aliachilia vipawa tofauti ikiwemo cha utabibu..akatupa akili tuzotumie,akabariki mikono.
Kuna watu uponyaji wao huachiliwa kupitia hospital, wengine moja kwa moja.
 
Dada angu tuelewane kidogo.
Nampinga mungu na sio Mungu. Mungu ni muweza wa yote lakini mungu anaubaguzi.
 
Mlikuwa na mapumbu au vipumbu?🤣🤣😄
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii umenikumbusha mbali sana,miaka hyo tuko watoto ilikuwa tukienda kutega ndege kwa ulimbo tulikuwa tunajificha kusubiria ndege anase, basi ndege asiponasa halafu ukakutwa umeshikilia mapumbu unapigwa makofi kwa kusababisha ndege asinase.
 
Alhaj Gen. Iddi Amini alikuwa anakula nyama za watu.

Huu ujinga unasomwa kabisa [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom