Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)

Kila mtanzania atapata bima.
 
Socialist countries ni maadui wa capitalist (imperial) countries
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Dini, ni uongo na uzushi bado watu wanafikiri ni ukweli
 
Kwamba kila binadamu ni kichaa! Uongo mrefu sana huu
 
Back
Top Bottom