Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,195
- 691
Basi!tuseme ni wa njano!Kusema ati mzungu ni mweupe wakati sio mweupe kama karatasi nyeupe
Basi!tuseme ni wa njano!Kusema ati mzungu ni mweupe wakati sio mweupe kama karatasi nyeupe
YESU SIO MUNGU Tena binadam wakawaida ila alikua na roho wa MUNGU ndan yake.Hallow naona unakoelekea siko, unataka matatizo wewe, sio bure. Mbona mtume wenu yule mwarabu sisi hatujamsema? Heshimu Imani za watu.
Zinapatikana asubuhi ya mapema SAA mojamoja kamili ya Sikh hiyo hiyo!Kingine wengi wanaamini Jf ni sehemu salama sana kiasi kwamba eti taarifa zako ni siri hata serikali ikizihitaji hawawezi kupewa [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Blanket kuitwa blangeti...
Angalia mkuu, unataka watu wapime mitambo yao, maana Kuna vibuyu vngne havjaguswaga muda mrefu .[emoji23][emoji23][emoji23].utaniKuamini ushirikina
HayajaKukuta tu.Uchawi
Ni nani na kwa mujibu wa maandiko yapi ? Tuelimishe mkuuYESU NI MUNGU, huu UPUMBAVU UMETAWALA vichwani mwa wajinga wengi mno
Hahahaa!!Blanket kuitwa blangeti...
Kwamba Velocity=Speed x Mass1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Nipe somo kidogo,1.Kwamba Mungu aliumba Dunia na vilivyomo!
2.Mungu anaishi mbinguni
3.Mungu ana adui yake anaitwa Shetani
4.mungu Hana mwanzo Wala mwisho
Uongo na hekaya!
Moja ni kweli, mbili pia ni kweli to much consumption of sugar lead to .....1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)