Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Wewe Masalakulangwa unaumwa wewe
Mimi ni shuhuda wa uchawi na UPO tena kwa herufi kubwa.
binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini uchawi upo. labda kama maana ya uchawi itawekwa bayana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3], wakamfanya tid wa watu aangushe machozi kama mwanafunzi aliyeangusha deli la "aishikirimu" la mwalimu wa stadi za kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alikiba eti ana undugu na kuku kisa analiaga kamlio ka kuku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini uchawi upo. labda kama maana ya uchawi itawekwa bayana.
Pole sana nilikuwa kama wewe na huenda nilikuwa zaidi.

Sina njia ya kukuthibitishia kwa macho yako kuwa uchawi upo kwakuwa hatujuani, ila nenda hospital yoyote ile muulize daktari au nurse tu uchawi upo? Jibu atakalokupa njoo uniambie i recommend huyo doc awe anafanya kazi za surgery kwa ushahidi wa kuonekana.
 
Rwazi1
Mwaka fulani nilikuwa Marya wakati huo ndio ajira changa niko under 20 nimeajiriwa mdogo sana, siamini kitu kinaitwa uchawi kabisa ila after 5 bad years nilinyoosha mikono na hata kwingine kote nilikopita hadi ndani ya familia yetu yakatukuta makubwa ambayo siwezi kuyaanika hapa.

Bro uchawi UPO
 
Kama unabishana na mimi niliyekuwa mgonjwa.basi tena sikuwezi
Huyu jamaa ni mbishi.
Mimi nimempa ushuhuda wangu binafsi na si stori za vijiweni ila bado amekataa..

Ila neema ya MUNGU ni kubwa mno naamini itamuokoa siku moja
 
Hakuna kitu kama hicho...yani maneno yakuponueshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli waafrica ipoo shidaa
Huyo aliekuombe akipata homa tu unamkuta kwenye foleni za mloganzila
Ndiyo maana nakuambia wewe siyo mzima
 
Binadamu wametokana na Nyani
UKIMWI ulitoka kwa Nyani
Ukila Ugali unakuwa na nguvu
 
Kusema ati mzungu ni mweupe wakati sio mweupe kama karatasi nyeupe
 
Si jambo la kunipa hongera.
Alituumba tumuabudu,ni wajibu wetu.

Sasa wewe unatakiwa upate msaada ya kiroho.
Amini unachoamini..kwa upande wangu mimi Mungu hayupo hajawahi kuwepo na hatokuwepo kamwee. Hamna çha msaada wa kiroho wala nin hizo ni propaganda tu za mabeberu wakale wamezipandikiza vichwani mwenu ni ngumu kubadilikaa
 
Amini unachoamini..kwa upande wangu mimi Mungu hayupo hajawahi kuwepo na hatokuwepo kamwee. Hamna çha msaada wa kiroho wala nin hizo ni propaganda tu za mabeberu wakale wamezipandikiza vichwani mwenu ni ngumu kubadilikaa
Nilishakwambia mpumbavu amesema moyoni mwake" hakuna MUNGU"

Kwanini unadhani hayupo??
Ngoja tukusikilize labda una hoja za maana.
 
Back
Top Bottom