Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,664
Tulia wewe msiambiwe ukweli!Hallow naona unakoelekea siko,unataka matatizo wewe, sio bure.Mbona mtume wenu yule mwarabu sisi hatujamsema?.Heshimu Imani za watu.
Tulia wewe msiambiwe ukweli!Hallow naona unakoelekea siko,unataka matatizo wewe, sio bure.Mbona mtume wenu yule mwarabu sisi hatujamsema?.Heshimu Imani za watu.
Mimi nimewahi kuombewa 2003 ugonjwa wa pumu nikapona mpaka leo.Ukimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Dalili kuu ya kiyamaJUA kutoa mashariki na kuzama magharibi
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. sukari ndio inasababisha kisukari,
Kwa hiyo Ukimwi una tiba?Ukimwi ni ugonjwa usio na tiba = uongo wa kiwango cha lami.
Kansa haina tiba = uongo uliopita kiwango.
Ambakati chembe kidevu lazima ukae.Wachambuzi wa ngumi aina ya VITASA za azam kuita aina ya upigaji ngumi wa UPPER CUT kuwa AMBAKATI
Kama vipi tuanzishe ligi. Lakini msianze kupaniki.Tulia wewe msiambiwe ukweli!
Haleluya, ubarikiwe kwa kutoa ushuhuda.Mimi nimewahi kuombewa 2003 ugonjwa wa pumu nikapona mpaka leo
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari,
hayajakukutaHakuna uchawi.
Mungu wangu nimejikwaa taya😅😅😅😅😅😅Sisi ni dona kantri tutembee kifua mbele
Tulitumia hela zetu kwenye uchaguzi.1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. Sukari ndio inasababisha kisukari
Huu ujinga nilishaacha kuuamini kitambo sana.Yesu ni mungu. Lakini inajulikana wazi yesu yeye si mungu, wala mwana wa mungu.