Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari,
Mkuu hapo namba 1 nami huwa sielewi kwa nn ukitia kizibo povu linatoka kwa fujo. Nikajua ile ni gesi yenyewe[emoji1787]
 
Kuna magonjwa mbalimbali,kama n magonjwa yanayotokana na vijidudu hata uombewe na mashekhe na pastor wa tz nzima huponi,lakin kama ugonjwa umetokana nguvu za Giza utapona hata ukiombewa na mim
Nguvu za giza zipoje?? Ugonjwa gani unatokana na nguvu za giza?
 
Back
Top Bottom