StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Ungesoma shule niliyosoma O level au kijiji nilichozaliwa ungepata picha barabara kabisa.Hata hivyo uwepo wa uchawi ni jambo moja na kuwa mchawi ni jambo jingineHakuna uchawi wewe. Kama upo, thibitisha.