Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Mzima kabisa na nasisitiza maombi hayawezi kumponyesha yoyote yule abadan
Mimi ni mfano hai
Ngoja nikupe ushuhuda,
Mwaka huu niliugua vidonda vya tumbo na nilienda hospital walinipa dawa kali ambazo zilinishinda baada ya kunywa siku 2 tu!
Niliachana nazo,hali yangu ilikuwa mbaya ila kuna mtu(nabii) alionyeshwa na kupewa jina langu katika maono..picha yangu yote na maisha yangu..akaniombea bila Mimi kujua.
Alianza kunitafuta na kuuliza watu kama wananijua,lakini alikuja kunipata siku ya ibada nilipoenda kutoa shukrani baada ya kutohisi maumivu ya ulcers.
Wale watu aliowauliza pia kuna wengine walinifwata kuniambia kama story nzima.

Tangu August hadi sasa napima na vidonda sina Tena.

Sasa wewe unayesema Mungu haponyi utakuwa na matatizo, tena makubwa.
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana(Yeye mwenyewe Anasema ni Jambo gani la kumshinda?)
Alituma Neno lake kutuponya.
 
Vichekesho vya mwakaa hiviii...Mungu yupii?
 
Wewe unaesema yupo ndio unaetakiwa kuniambia alipoo
Mimi nimeona wewe unasema kabisa kuwa hayupo na ndio sababu ya kuuliza umewezaje kujua kuwa hayupo? Sasa huwezi tena kuniambia nikwambie alipo wakati wewe umesema hayupo.

Nachotaka ueleze umejuaje kuwa hayupo hadi ukatoa madai ya kuwa hayupo?
 
Huo msemo kila nikiukumbuka najisikia kucheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Behaviourist "Ni yeye"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3], wakamfanya tid wa watu aangushe machozi kama mwanafunzi aliyeangusha deli la "aishikirimu" la mwalimu wa stadi za kazi
 
Back
Top Bottom