Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Hakuna kitu kama hicho...yani maneno yakuponueshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli waafrica ipoo shidaa
Huyo aliekuombe akipata homa tu unamkuta kwenye foleni za mloganzila
Tatizo liko wapi kama aliniombea nikapona? Hata nikimkuta kwa sangoma hainihusu
 
Bima ya afya kwa kila Mtanzania!

Huu ni uongo ambao hauwezekani maisha lakini watu wanaaminishwa kuwa ni ukweli.
 
Mkikojoa pamoja ,sehem moja ,ndugu wamoja,mama yenu anavimba ziwa



Ukipanda gari,miti inarudi nyuma


Ukinunua chumvi usiku,sema mkubwa wa jiko,ka sivyo haileti radha ya mboga


Usilie usiku,ukuta unasikia utakujibu..(kumbe mwangwi sometimes)


Naota naota kesho kuna vita,kumbe alikuwa anacheka kweny TV za ungo.


Ilani yao,ina karatas 12 tu,alaf wanasema et,watauza madini wapeleke kwa mabeberu.
 
Uganga ni art tu..hata mimi kesho naweza kuamaka nikaweka kibanda changu nje ya nyumba ni kaanza usanii wangu
Unazungumzia waganga wasanii,hata madaktari wasanii wapo na dawa feki zipo.

Uchawi ungekuwa ni kitu ambacho hakina uhalisia basi hii biashara ya uganga ingekuwa haina nafasi,kwa sababu watu wangekuwa wanaenda ila hawaoni athari kwa kile walichoendea kwa mganga na hivyo wangeacha kwenda kwa waganga.
 
Back
Top Bottom