Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 576
Khaaaaa aliyelogwa sasa haponi tena au.....au mgonjwa yupi....na faham kwamba magonjwa mengi sana au asilimia kubwa ya wagonjwa mahospitalin hawaumwi, nitafute nikukuze......au upo dunia gan...unafaham kwamba unaweza kufika hospitalin ukapimwa na ukaambiwa huna maji yaoaswa utundikiwe drip ya maji chap...na ni kwa sababu una malaria kali...lkn kiuhalisia huna malaria...wewe huumwi lolote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] take care.Ukimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini