Taja mabeki watatu bora wa wakati wote Duniani

Mkuu uliwahi waona Fabio Cannavaro na Allesandro Nesta?
Hivi Nesta alikuwa club gani? Milan au Roma?

Namkumbuka Fabio Canavaro alikuwa beki bora wa dunia mwaka 2006 I think akiwasaidia sana kina Materazzi. Hapo kati kiungo alikuwa Andrea Pirlor...fundi.

Italy kisoka kwishney...!
 
Nesta alicheza Ac Milan ile yenyewe. Iliyokuwa inaundwa na ukuta wa Dida golini, Cafu kulia, Nesta na Jaap Stam kati na kushoto Maldini.

Pia kuna muda Maldini alikuwa anacheza kama beki wa kati pembeni akicheza mtu mmoja wa kuitwa Jankuvoloski kama nimepatia spelling.

Huyo Fabio Cannavaro ni mmoja kati ya wanadamu wachache ambao licha ya kuwa ni kimo kifupi walifanikiwa sana kucheza vizuri kama beki wa kati. Alitwaa Ballon D'or ya mwaka 2006 baada ya kuiongoza Azzuri kutwaa Kombe la Dunia.
 
kwangu mimi namchukulia cannavaro kama ni overrated.
 
John Joseph Maghufuli. Aaah huyu noma.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Miaka ya 90 mpaka late 2000 imeshuhudia mabeki bora zaidi kuwahi kuwepo katika ulimwengu a wa soka.

Niliobahatika kuwaona na pamoja na ;

✓Fernando Hiero
✓Cafu
✓Desaily
✓Carlos
✓Canavaro
✓Maldin
✓Tony Adams
✓Puyol
✓Stam
✓Zaneti
✓Nesta
✓Thuram
✓Lahm
The list is loooong..

Ila baada ya retirement ya kizazi Cha kina Puyol, Terry na Lahm mabeki wamekuwa a bit avarage ndio sababu wale wasiobahatika kuwaona hao wakiwa uwanjani wanaweza kuthubutu kumtaja Van Dijk kwenye list ya best of all time:

My top 3 are :
✓Cafu
✓Maldini
✓Hiero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…