Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Athumani Juma ChamaGeorge Magere Masatu
Constantine Kimanda
Victor Costa Nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athumani Juma ChamaGeorge Magere Masatu
Constantine Kimanda
Victor Costa Nyumba
Hivi Nesta alikuwa club gani? Milan au Roma?Mkuu uliwahi waona Fabio Cannavaro na Allesandro Nesta?
Hakua na kipaji kikubwa cha soka bali alibarikiwa kua kiongozi mzuri uwanjaniRigobert Song wa Cameroon pia alikuwa anajitahidi japo alikuwa anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Huo ni mtazamo wako mkuu. Sikupingi. Ila kwangu Ramos ni bora sana hasa katika mabeki wa kizazi hiki, anaweza asiwe na maarifa mengi, ila anajua jinsi gani kazi inatakiwa ifanyike.DAh Ramos ni mweupe sana ukimlinganisha na madifenders bora. Hawezi muingia hata Puyol
Nesta alicheza Ac Milan ile yenyewe. Iliyokuwa inaundwa na ukuta wa Dida golini, Cafu kulia, Nesta na Jaap Stam kati na kushoto Maldini.Hivi Nesta alikuwa club gani? Milan au Roma?
Namkumbuka Fabio Canavaro alikuwa beki bora wa dunia mwaka 2006 I think akiwasaidia sana kina Materazzi. Hapo kati kiungo alikuwa Andrea Pirlor...fundi.
Italy kisoka kwishney...!
Kikosi cha Italy cha mwaka 2006 WC kilikuwa super sana.Hivi Nesta alikuwa club gani? Milan au Roma?
Namkumbuka Fabio Canavaro alikuwa beki bora wa dunia mwaka 2006 I think akiwasaidia sana kina Materazzi. Hapo kati kiungo alikuwa Andrea Pirlor...fundi.
Italy kisoka kwishney...!
kwangu mimi namchukulia cannavaro kama ni overrated.Huyo Fabio Cannavaro ni mmoja kati ya wanadamu wachache ambao licha ya kuwa ni kimo kifupi walifanikiwa sana kucheza vizuri kama beki wa kati. Alitwaa Ballon D'or ya mwaka 2006 baada ya kuiongoza Azzuri kutwaa Kombe la Dunia.
Hivi Nesta alikuwa club gani? Milan au Roma?
Namkumbuka Fabio Canavaro alikuwa beki bora wa dunia mwaka 2006 I think akiwasaidia sana kina Materazzi. Hapo kati kiungo alikuwa Andrea Pirlor...fundi.
Italy kisoka kwishney...!
Samuel Umtiti. France
Kwa mwaka 2006 alikuwa vizuri sanakwangu mimi namchukulia cannavaro kama ni overrated.
Samuel Umtiti. France
Mzaha upi jamani? Au ulitaka nitaje Erasto Nyoni.Tanzania.Acha mzaha