Taja mabeki watatu bora wa wakati wote Duniani

Anaipiga kwa njia ipi?
Moja kati ya hizi mbili:-

1) Kwa kupira mpiga kwa miguu (Shooting)

2) Kwa kupiga Mpira kwa kichwa kisha uingie wavuni (Heading)
 
fabio canavaro
paulo maldini
roberto carlos
 
Moja kati ya hizi mbili:-

1) Kwa kupira mpiga kwa miguu (Shooting)

2) Kwa kupiga Mpira kwa kichwa kisha uingie wavuni (Heading)

ALikua wapi hizo zaidi ya dakika mia alizokua kashacheza mbona hakupiga hiyo heading ikainga?

Mechi ilikua nzito sana na mzee Zizou alikua taabani, kama unaikumbuka vizuri aliomba mpaka kufanyiwa sub kocha akakataa kumtoa na kumuomba aendelee. Mpaka kufika kurusha kichwa ilichangiwa kwa asilimia kubwa alikua tayari yupo very frustrated. Kijana Gatusso na Matarazi walimnyima amani kabisa.
 
Duuuh...
Hao jamaa wote uliowataja wamecheza timu moja..!
Basi AC Milan ilikuwa timu ya hatari Chief..!
Hayo majina mimi huwa nayaona kwenye mitandao tu sikuwa unajua kama yalitengeneza kikosi kimoja..!
Siku zote wakati ni ukuta
 
1. Taribo West
2. Carles Pubic
3. Fabio Cannavaro
 
1. Nemanja Vidic
2. Carlos Puyol
3. John Terry.

Sub list
1. Allesandro Nesta
2. Ricardo Cavarlho
3. Walter Samuel
 
Franco baresi(ac Milan)
Raphael Marquez (Barcelona)
John Terry (Chelsea)
 
kwa nini mashabiki wengi wa chelsea hamumpi heshima inayostahili bwana ricardo carvalho?
huyo john terry na uwezo wake wote alipoondoka carvalho na yeye akapoteza muelekeo.
View attachment 1123507
Heshima yake ipo alikua beki mzuri sana naweza sema ni kama David Luiz tuliyenaye sasa. Lakini bado hawezi kufikia solidness ya John Terry. Carvalho by the time walitengeneza pair nzuri sana na John Terry kipindi hicho ila kiukweli hawezi kumfikia Terry bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…