Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari Sanaa...ila Kama Zidane asingelimwa Red card alikuwa anaipiga Italy goli.
Mathius Summer beki bora world cup ya 1998 kutoka ujeruman
kwangu mimi namchukulia cannavaro kama ni overrated.
Kupira?Moja kati ya hizi mbili:-
1) Kwa kupira mpiga kwa miguu (Shooting)
2) Kwa kupiga Mpira kwa kichwa kisha uingie wavuni (Heading)
Moja kati ya hizi mbili:-
1) Kwa kupira mpiga kwa miguu (Shooting)
2) Kwa kupiga Mpira kwa kichwa kisha uingie wavuni (Heading)
Siku zote wakati ni ukutaDuuuh...
Hao jamaa wote uliowataja wamecheza timu moja..!
Basi AC Milan ilikuwa timu ya hatari Chief..!
Hayo majina mimi huwa nayaona kwenye mitandao tu sikuwa unajua kama yalitengeneza kikosi kimoja..!
Taja na wewe list yakoSizani kama Ramos ni beki Bora wa Kati kuliko Please puyol
Umetumia vigezo gani mkuu?PUYOL
FABIO CANAVARO
JOHN TERRY
Vigezo vya FIFAUmetumia vigezo gani mkuu?
Heshima yake ipo alikua beki mzuri sana naweza sema ni kama David Luiz tuliyenaye sasa. Lakini bado hawezi kufikia solidness ya John Terry. Carvalho by the time walitengeneza pair nzuri sana na John Terry kipindi hicho ila kiukweli hawezi kumfikia Terry bhana.kwa nini mashabiki wengi wa chelsea hamumpi heshima inayostahili bwana ricardo carvalho?
huyo john terry na uwezo wake wote alipoondoka carvalho na yeye akapoteza muelekeo.
View attachment 1123507