Baresi na Maldini hawa ni balaa hasa Baresi unaweza kujiuliza utampitaje. Alikuwa humuoni anacheza foul au yuko out of position kila wakati yuko sehemu sahihi uchezaji wake unaweza kuona baadhi ya vitu kwa Van Diyik kila muda yuko katika position ndio maana sikumbuki kama ameshapewa red card Van Diyik sina uhakika. Ila Baresi yule jamaa alikuwa ana akili ya mpira sana tu.According to kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma ni hawa hapa;
Franz Backenbeuer "The Kaiser"
Franco Baresi
Bobby Moore
Kwa niliowaona mimi wakicheza;
Paolo Maldini
Sergio Ramos
Nemanja Vidic
Kwa Afrika;
Wael Gomaa
Said Mwamba Nassoro
Lucas Radebe
Shujaa asiyeimbwa pale darajani. Mmoja kati ya wachezaji walioleta impact kubwa sana katika idara ya ulinzi kwa Chelsea ile ya miaka ya 2005 na kuendelea.kwa nini mashabiki wengi wa chelsea hamumpi heshima inayostahili bwana ricardo carvalho?
huyo john terry na uwezo wake wote alipoondoka carvalho na yeye akapoteza muelekeo.
View attachment 1123507
Wangecheza Leo hii UEFA ingekuwa yao tu kila msimu.
Utabaki nalaana yako milele kwasabb humtaki Yesu Kristo nwokozi wa dunia, unamng'ang'ania marehemu ambaye hata yeye hakujua aendapo matokeo yake akakuachia zigo la kumuombea+
Siyo mnasema Yesu kishafanywa laana?
Sasa mje niipate wapi tena hiyo "laaaana" na Yesu mmeshamtoa mhanga?
Wewe unaleta ushabiki; wapi Zidane alipiga dk 100? unajua kua alitolewa dk ya ngapi ya mchezo?ALikua wapi hizo zaidi ya dakika mia alizokua kashacheza mbona hakupiga hiyo heading ikainga?
Mechi ilikua nzito sana na mzee Zizou alikua taabani, kama unaikumbuka vizuri aliomba mpaka kufanyiwa sub kocha akakataa kumtoa na kumuomba aendelee. Mpaka kufika kurusha kichwa ilichangiwa kwa asilimia kubwa alikua tayari yupo very frustrated. Kijana Gatusso na Matarazi walimnyima amani kabisa.
Wewe unaleta ushabiki; wapi Zidane alipiga dk 100? unajua kua alitolewa dk ya ngapi ya mchezo?
Baresi na Maldini hawa ni balaa hasa Baresi unaweza kujiuliza utampitaje. Alikuwa humuoni anacheza foul au yuko out of position kila wakati yuko sehemu sahihi uchezaji wake unaweza kuona baadhi ya vitu kwa Van Diyik kila muda yuko katika position ndio maana sikumbuki kama ameshapewa red card Van Diyik sina uhakika. Ila Baresi yule jamaa alikuwa ana akili ya mpira sana tu.