Taja mabeki watatu bora wa wakati wote Duniani

Taja mabeki watatu bora wa wakati wote Duniani

1. Robert Ayala
2. John chales
3. Carles Puyol
4. Andreas Brehme
5. Miguel Angle
6. Tony Adams
7. Robert Carlos
8. Jaap Stam
9. Marcel Desaily
10. Cafu
11. Thuram
12. Calos Torres
13. Cannavaro
14. Poulo Maldini
 
According to kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma ni hawa hapa;
Franz Backenbeuer "The Kaiser"
Franco Baresi
Bobby Moore

Kwa niliowaona mimi wakicheza;
Paolo Maldini
Sergio Ramos
Nemanja Vidic

Kwa Afrika;
Wael Gomaa
Said Mwamba Nassoro
Lucas Radebe
Baresi na Maldini hawa ni balaa hasa Baresi unaweza kujiuliza utampitaje. Alikuwa humuoni anacheza foul au yuko out of position kila wakati yuko sehemu sahihi uchezaji wake unaweza kuona baadhi ya vitu kwa Van Diyik kila muda yuko katika position ndio maana sikumbuki kama ameshapewa red card Van Diyik sina uhakika. Ila Baresi yule jamaa alikuwa ana akili ya mpira sana tu.
 
kwa nini mashabiki wengi wa chelsea hamumpi heshima inayostahili bwana ricardo carvalho?
huyo john terry na uwezo wake wote alipoondoka carvalho na yeye akapoteza muelekeo.
View attachment 1123507
Shujaa asiyeimbwa pale darajani. Mmoja kati ya wachezaji walioleta impact kubwa sana katika idara ya ulinzi kwa Chelsea ile ya miaka ya 2005 na kuendelea.
 
Wangecheza Leo hii UEFA ingekuwa yao tu kila msimu.
+

Siyo mnasema Yesu kishafanywa laana?

Sasa mje niipate wapi tena hiyo "laaaana" na Yesu mmeshamtoa mhanga?
Utabaki nalaana yako milele kwasabb humtaki Yesu Kristo nwokozi wa dunia, unamng'ang'ania marehemu ambaye hata yeye hakujua aendapo matokeo yake akakuachia zigo la kumuombea
 
ALikua wapi hizo zaidi ya dakika mia alizokua kashacheza mbona hakupiga hiyo heading ikainga?

Mechi ilikua nzito sana na mzee Zizou alikua taabani, kama unaikumbuka vizuri aliomba mpaka kufanyiwa sub kocha akakataa kumtoa na kumuomba aendelee. Mpaka kufika kurusha kichwa ilichangiwa kwa asilimia kubwa alikua tayari yupo very frustrated. Kijana Gatusso na Matarazi walimnyima amani kabisa.
Wewe unaleta ushabiki; wapi Zidane alipiga dk 100? unajua kua alitolewa dk ya ngapi ya mchezo?
 
Wewe unaleta ushabiki; wapi Zidane alipiga dk 100? unajua kua alitolewa dk ya ngapi ya mchezo?

Ungetwambia yangapi mkuu.

Zidane alitolewa dakika ya 110. ikiwa zimebaki dakika 10 mchezo kumalizika. vipi hukubali au?
 
Baresi na Maldini hawa ni balaa hasa Baresi unaweza kujiuliza utampitaje. Alikuwa humuoni anacheza foul au yuko out of position kila wakati yuko sehemu sahihi uchezaji wake unaweza kuona baadhi ya vitu kwa Van Diyik kila muda yuko katika position ndio maana sikumbuki kama ameshapewa red card Van Diyik sina uhakika. Ila Baresi yule jamaa alikuwa ana akili ya mpira sana tu.

Baresi ni habari nyenngine kabisa. Greatest Defender ever
 
Back
Top Bottom