Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Hahahaha figo yangu ya nini wakati hiyo hela umesema hauitaki sasa si bora uichukue tu unipe mimi mwenye shida nayo
Siku nikikutana na wenye shida nayo kweli kuliko binadamu wa kawaida nitabadili maamuzi kuifuata kwa ajili yao

Nyie wote humu ni ma boss include you hamna shida hiyo [emoji16][emoji16][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]khaa kilichokufanya uhitimishe kuwa sisi ni maboss ni kitu gani kwa mfano??
Siku nikikutana na wenye shida nayo kweli kuliko binadamu wa kawaida nitabadili maamuzi kuifuata kwa ajili yao

Nyie wote humu ni ma boss include you hamna shida hiyo [emoji16][emoji16][emoji3]
 
😂😂😂😂😂😂😂mkuu umetisha aseeh*kwenye hayo sugu
 
Mimi bora nidaiwe kuliko kudai.. naogopa kudai sijui kwann, imagije nishawahi kumkimbia mtu ninayemdai..

Unaweza jua ni chai hii but ndio hali halisi yangu..Very Shy kwenye kuomba
we jamaa uko kama mimi yaani kumdai mtu naona kama ukatili flani? hapa kuna bwege namdai 500k,hii hela ni malipo yangu kwa kazi flani nkapitishia kwenye A/C yake namdai kimanati sana (nna shida ya hela sana ila akinambia hana nakua mpole)

sema siku nyingine huwa nadai kweli kweli hadi huwezi amini.
 
Ulitakiwa unavyomaliza kazi anakupa chako la sivyo ni kurudisha maendeleo yako nyuma.
 
Mpawa 20000
Branch 52000
Tala 30000
Jamaa mmoja 250000
Mama mwenyenyumba 600000
Classmate 300000
Harus 100000
Mchepuko 150000
Jirani 30000
Mimi mwenyewe najidai kiasi cha 100000
Hii bangi naona ni ingizo jipya hapa mjini inalimwa wapi mkuu? [emoji848]
 
Hujambo,je unajua, kutolipa deni lako la B R A N C H ni Uhalifu wa kimtandao?, Wengi wameshapata matatizo kwa sababu hiyo,Tunakupa muda mchache uwe umeshalipa, Kumbuka Namba yako ya simu na kitambulisho chako zina taarifa zako zote zitatuwezesha kukufikia.LIPA DENI SASA
 
Hapa duniani hawa machizi [emoji116] pekee ndo wananidai 5k naona mpaka wameanza kunilipia deni sasa lishakua chronic...! Me muoga sana wa kuishi nadaiwa, Huwa nahakikisha na clear madeni yote kabla sijaanza kusolve matatizo yangu binafsi...! Hata nikikopesha kudai ni muoga ile mbaya...
 
[emoji3][emoji3]
 
GH
Mimi bora nidaiwe kuliko kudai.. naogopa kudai sijui kwann, imagije nishawahi kumkimbia mtu ninayemdai..

Unaweza jua ni chai hii but ndio hali halisi yangu..Very Shy kwenye kuomba
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…