Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Hata kumjua simjui.
Na namba zake nilipoteza kwenye simu niliibiwa.
Kuna wakati uwa nawaza siku akitokea akataka cement zake na nondo itakuwajeee.
nikiona namba mpya uwa nashtuka sanaa maana nahisi ni yeye.
Huwa unamuona around? Ukute mtu hata kashakufa [emoji23][emoji23] halafu we unawaaaza.
 
"Nadaiwa hela ya posa milioni 1 na laki 3, kati ya milioni 1 na laki 5, nilitoa laki 2 tu."

Huwa natafutaga sababu ya msingi ya wewe kujiita Zero iq ila asante kwasababu leo nimeipata sababu [emoji23] [emoji23]
 
Kijana wangu ananidai 150000

Ninao wadai
Mshiriki kanisani 500000
Mzee wa kanisa 150000
Class mate 150000

Hakuna dalili ya kulipwa ila Mimi nitalipa mwisho wa mwezi
 
Hivi myplusbee hujaona madeni yangu huku au ndio unajikausha
Hahahaa, madeni gani baby?! Unajua nilipotea JF wiki kadhaa, na hata niliporudi, sikurudi kama kurudi, nikawa nachungulia tu nakimbia bila kuangalia mada, kama ambavyo nilivyo njiani kukimbia hivi sasa!!Anyway, narudi J5, na nitayasaka madeni yako na nitakulipia yote mpenzi wangu!!
 
Mm nadai office niliyokuwa nafanya kaz M 2 , ila nadaiwa laki 5.
Ndo déni kubwa
 
mkuu unatudanganya asee mbona naskia imepanda au ni update ya lini iyoo
Hii ndio hesabu niliyo nayo mimi, unanikosea heshima kusema nawadanganya, wewe kama unayo figure kamili weka tu hapa, lengo letu ni kuelimishana, mimi siwezi kukupinga eti kwa sababu siijui hesabu uliyoweka.
 
Hii ndio hesabu niliyo nayo mimi, unanikosea heshima kusema nawadanganya, wewe kama unayo figure kamili weka tu hapa, lengo letu ni kuelimishana, mimi siwezi kukupinga eti kwa sababu siijui hesabu uliyoweka.
😏😏😏😏😏
 
Back
Top Bottom