Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Nina short hair ya rough dreads; na zinanistiri chogo langu. Nilikuwa nataka hiyo style yako sasa; kila nikijipimia kwenye kioo; nakufa kucheka mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe, mbona huna chogo!!!!
Nilikuwa na rough hair baadae ndio nikaamua kubadili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe, mbona huna chogo!!!!
Nilikuwa na rough hair baadae ndio nikaamua kubadili.
Uliliona wapi chogo langu? Me nakuwa nazo on and off; nikijisikia kusuka nasuka then napunguza narudi kwa rough; ndo nikataka nihamie kwa style hiyo.
 
nadaiwa
mil 467 CRDB
MIL 80 NMB,
KILA MWISHO WA MWEZ NADAIWA MIL 34.5 MSHAHARA WA WAFANYAKAZI
NMEWEKEZA MIRADI YA JUMLA YA BIL 4.5
 
Hongera sana
Hillside bar elfu 35600
Valley view bar 27300
Jm sports & lounge 52000
Kingstone bar 17000
Red devil bar 23500 ( nimelikataa)


Ni hayo tu


Mi nikilewa sana wananiibia halafu tips nawapa wengine nawanunulia [emoji36][emoji36][emoji35]binadamu hawaridhiki
 
Nilijua tu Mimi ndio ninamadeni
Watu binafsi. 6,500,000 hivi
Bank nimemaliz. Nil
TRA
Michango ahadi 450,000
Fundi Gari 170,000
Tala 88,000 ,branch 8000 ,L pesa 63000 ,Tigo 42000
Lakini pia nadai 4,50,000 na zaidi Kwa watu binafsi..

Biashara yangu inadai sehemu 30mil na zaidi ,sioni dalili za malipo

Natamani 31/12/2019 usipite nibaki bila deni kabisa ,nianze mwaka upya.
Kuna jamaa aliniambia anamadeni mil 400 binafsi ,bado benki mil 150 zaidi ...kumbe Mimi ni chamtoto najitia moyo

Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom