Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,234
Nawalipa dear sema mambo yaliingiliana tu.ndo nikakwama kulipa kwa wakati.Walipe bwana mimi nawalipa wananisaidia sana nikikwama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawalipa dear sema mambo yaliingiliana tu.ndo nikakwama kulipa kwa wakati.Walipe bwana mimi nawalipa wananisaidia sana nikikwama
Loan board mama 13M+
Voda nilikopa salio 600
Vicoba 400,000
Mchango wa harusi 70,000
Branch 24k na vipoints
Nadai marafiki....
Nimekuibox numbe ya cm baby.Naomba nizilipe hizo mama
Wanatusaidia kulipa🤣🤣Hili jukwaa lina mada za ajabu sana, sasa mtu anataka kujua madeni ya watu ili iweje sasa.
AiseeMimi bora nidaiwe kuliko kudai.. naogopa kudai sijui kwann, imagije nishawahi kumkimbia mtu ninayemdai..
Unaweza jua ni chai hii but ndio hali halisi yangu..Very Shy kwenye kuomba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu fanya kunilipia babe wangu [emoji847]Baby naomba nilipe hayo madeni...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi utalipia wangapiNaomba nilipe pls
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuibox numbe ya cm baby.
Khaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi bora nidaiwe kuliko kudai.. naogopa kudai sijui kwann, imagije nishawahi kumkimbia mtu ninayemdai..
Unaweza jua ni chai hii but ndio hali halisi yangu..Very Shy kwenye kuomba
HahahahaahVoda Mpawa 125K yaani sina raha kila siku kupokea simu na sms za vitisho kutoka kwao najua nimepitiliza muda ila nitailipa.
Mpendwa mteja, MPAWA, Kila jambo lina mwisho. Mkopo tuliokupa sio kiwango cha mwisho, Ila marejesho yake tulikuekea mwisho wa kufanya. Umekaidi,Umedharau,Umepuuzia, Tafsiri yako kwetu ni mteja anaetaka kutapeli kampuni. Mwisho wa ubaya ni Aibu, HATUTAKI KUKUAIBISHA AU KUKUDHALILISHA KWA MKOPO MDOGO. Bonyeza *150*00#KULIPA LEO HII.
Karibu boss 🤗Naomba nilipe pls
Emu muache Boss 😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi utalipia wangapi