Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Mimi bora nidaiwe kuliko kudai.. naogopa kudai sijui kwann, imagije nishawahi kumkimbia mtu ninayemdai..

Unaweza jua ni chai hii but ndio hali halisi yangu..Very Shy kwenye kuomba
Khaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Voda Mpawa 125K yaani sina raha kila siku kupokea simu na sms za vitisho kutoka kwao najua nimepitiliza muda ila nitailipa.

Mpendwa mteja, MPAWA, Kila jambo lina mwisho. Mkopo tuliokupa sio kiwango cha mwisho, Ila marejesho yake tulikuekea mwisho wa kufanya. Umekaidi,Umedharau,Umepuuzia, Tafsiri yako kwetu ni mteja anaetaka kutapeli kampuni. Mwisho wa ubaya ni Aibu, HATUTAKI KUKUAIBISHA AU KUKUDHALILISHA KWA MKOPO MDOGO. Bonyeza *150*00#KULIPA LEO HII.
Hahahahaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom