Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Ni mikopo ya kibiashara bibie, kama na wewe unafanya biashara kopa kwa raha zako, vinginevyo sikushauri.ulikopa wapi namimi nikakope mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mikopo ya kibiashara bibie, kama na wewe unafanya biashara kopa kwa raha zako, vinginevyo sikushauri.ulikopa wapi namimi nikakope mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba dollar 200 ni ndogo?? Mweee mwana gwa bharondo une!!
Shikamoo madam haiba; HESLB wanakuslimuLoan board inaniumiza kichwa walah[emoji134][emoji134]
Aisee we jamaa ni kipofu ama... Davie ni bibie????Ni mikopo ya kibiashara bibie, kama na wewe unafanya biashara kopa kwa raha zako, vinginevyo sikushauri.
Sidaiwi Bali nadai mil 35 ya fidia kwa mambo niliyofanyiwa japo utaratibu wa malipo umefika hatua ya mwisho ni Mimi kwenda kusaini kuchukua
Ila
Ila nimeghairi
Ndio mimi ni kipofu, sasa mbona unanilaumu wakati sioni!!!Aisee we jamaa ni kipofu ama... Davie ni bibie????
Nyoa tu mama😂😂😂Shikamoo madam haiba; HESLB wanakuslimu
Nilikuwa nawaza hiyo hair-cut yako; tatizo nikiwaza hili bichwa langu refu kama basi teh
Nyoa tu mama😂😂😂Shikamoo madam haiba; HESLB wanakuslimu
Nilikuwa nawaza hiyo hair-cut yako; tatizo nikiwaza hili bichwa langu refu kama basi teh
Nyoa tu mama[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe, mbona huna chogo!!!!Nina short hair ya rough dreads; na zinanistiri chogo langu. Nilikuwa nataka hiyo style yako sasa; kila nikijipimia kwenye kioo; nakufa kucheka mwenyewe
Uliliona wapi chogo langu? Me nakuwa nazo on and off; nikijisikia kusuka nasuka then napunguza narudi kwa rough; ndo nikataka nihamie kwa style hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe, mbona huna chogo!!!!
Nilikuwa na rough hair baadae ndio nikaamua kubadili.
Karibu chamani.Uliliona wapi chogo langu? Me nakuwa nazo on and off; nikijisikia kusuka nasuka then napunguza narudi kwa rough; ndo nikataka nihamie kwa style hiyo.
Hillside bar elfu 35600
Valley view bar 27300
Jm sports & lounge 52000
Kingstone bar 17000
Red devil bar 23500 ( nimelikataa)
Ni hayo tu
Ulifanyiwa vitu gani mkuu
Mpawa wananidai 13000/= tshs na sijui nitawalipaje hakiyamamaView attachment 1266115