Taja majina ya binadamu uliyowai kusikia wakiitwa wanyama wanaofugwa

Taja majina ya binadamu uliyowai kusikia wakiitwa wanyama wanaofugwa

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Paka wetu tulimuita John
Mbwa mkali mtaani aliitwa Tyson

Tililika na wewe unayoyafahamu👇
 
Miaka hiyo mtaani kulikuw na dume la ng'ombe (fresian) aliitwa HAILE
 
Mbwa wa Sepetyu aitwa manunu nalo si jina la binaadamu hilo ?
 
Back
Top Bottom