Taja mambo unayotamani kuyafanya lakini unashindwa

Taja mambo unayotamani kuyafanya lakini unashindwa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kila mtu Ana NDOTO zake lakini sijui Ni kwasababu muda mdogo au tatizo tunakosa utayari mpaka tunashindwa kuyatimiza tunayotaka lakini kiuhalisia mengi yapo ndani ya uwezo wetu.

Tusaidiane jamani maana kila mtu Ana uzoefu wake msaidie Mwenzako mwenye uhitaji mkubwa wa jambo lake asaidie kwa mawazo.

Hata biblia inakiri tunayotaka kuyafanya hatuyafanyi Ila tunajikuta tunafanya tusiyoyapenda.

Mimi binafsi ninayotamani kuyafanya lakini sifanikiwi ni yafuatayo

1.Kukimbia kila siku asubuhi yaani ukiwa mtu wa mazoezi asubuhi ukala tizi hata kila siku umeamka saa 11 alfajiri ukakimbia mpaka saa 12 Ukaoga utaona maajabu kwani muda huo unakimbia nguvu flani za ajabu Sana zitakua zikikuingia maana utakuwa unaongea na MUNGU wako barabarani unapita hamna watu

2.Kuiachilia simu yangu yaani nishakuwa addicted Na simu ndo maana hata nimekuwa mvivu siwezi Tena kujifulia nguo na kusafisha chumba naishia kumlipa dobi hata kwa nguo Kama mashuka mawili tu.uzembe wa hali ya juu nikiamka tu Cha Kwanza WhatsApp message Kisha Facebook halafu namalizia na JF mchana kutwa na hivi kazi yangu yenyewe Ni kukaa tu dukani mida yote Niko na simu hii tabia nataka kuacha lakini Kuna ugumu.

3.Mengineyo nadhani nimefanikiwa kuyaacha ukianzia na pombe,xnxx na xvideos, bet pawa bado nipo nipo si unajua Tena hela huwa Ni za kwetu wote.

4.Natamani niwe na swali Mara tano kwa siku Kama waislamu.japokuwa Mimi ni mkristo ila nahisi Kuna maono NILIPATA kutoka nafsini mwangu kuwa dini yenye mazoea mazuri yenye manufaa ni uislam ile kutawaza na kuswali Mara tano utapata uwezo wa juu nataka nijifunze kuswali sema tatizo linakuja nahisi muda utakuwa haupo nashindwa.

5.Lingine napenda kusafiri yaani kwa niwe tu na camera na vifaa Kama simu,mapower bank,yaani niwe na hela za kula tu bila kufanya kazi let's say mfano million 10.kazi yangu me inakuwa Ni kupita vijiji ,wilaya,mikoa niwage nalala tu lodge leo nipo Arusha kesho nakuja dar natembea tembea cocobeach, masaki, mwenge, kariakoo keshokutwa nipo dodoma uswahilini kesho nipo nachingwea nafika tu stand nakula kuku natafuta mwenyeji itapendeza ikiwa Ni demu halafu tunatembea naye ananitembeza mitaa yote nifanye rout kwa tanzania yote ndo nachotamani lakini hakitokei

6.Lingine niwe nakula vyakula vile vile kila siku ugali kabeji au na matembere, maziwa, matikimaji, matango, Nchoroko, chapati yaani hivo tu ndo niwe napikiwa kila siku ila haiwezekani kibongobongo.

7.Mwisho natamani kuoa ila nashindwa sidumu na wachumba.kwa sababu unajua me kiukweli nipo kwenye chama la wanaume wabahili sasa nataka mwanamke ambaye haombi hela yaani akiwa mke wangu ye atuliage tu hela me nitakuwa nampa maana matatizo yote ya maisha nitakuwa nayajua ila ndo hivo mwenye vigezo hivo simpati kwa hiyo nashindwa kuoa.

Zamu yako kutiririka mwenye kunisaidia anisaidie napoelekea Ni pabaya au kawaida tu?
 
KUPATA KIWANJA NA KUMILIKI NYUMBA YANGU MWENYEWE
Utajenga tu ebu fikiria manyumba yote haya Ni kweli wamiliki wake Ni wafanyabiashara au watumish?hapana Ni watu wa kawaida ukiona vipi nenda mabush ya mbali katafute eneo lenye maji jimegee ardhi anzisha makazi hata ya nyumba ya udongo Jenga kwa ushirikiano na vijana wa hayo maeneo..nunua cement tano piga lipu weka kasola kakupe umeme Kisha tayari Una nyumba ndo makazi yako tayari
 
Hilo Ni gumu Sana huna uwezo nalo lisikuumize kichwa labda ungesema kumkill sawa ningekushauri ila naogopa Uzi utafutwa nikikupa mbinu ya kuondoa maisha yake.mods kausheni
Mkuu nipe mbinu za kumuua KAYAFA niliokoe Taifa!
 
Kupata kazi ? Mungu anisaidie [emoji23] jamanii no mtaji, kila kitu hakishikiki.
 
Kuacha ugoro
Pole Sana mkuu Cha Bibi kikikunasa Ni hatari jamaa yangu askari hakosi udongo anakuwekea mdomo wa juu Na chini anaweka.kuna kipindi aliacha Kama week Kuna siku nasafiri nae nilikua na mchongo wa 3000 akanishtukia nashindwa kutema mate akauliza Una ugoro akaniomba acha kabisa safari nzima tuliula na ye ndo alikuwa driver sijui Kama sa hv bado anakula sijakutana nae siku nyingi..me sa hivi ndo nauza kabisa Dawa dukani
 
Natamani niwe na dawa ambayo nikipaka nisionekane niwe naingia kwenye nyumba za watu,humo nakula,naangalia tv,nasikiliza maongezi yao,nawabandua wanawake wote humo kisha nasepa kwenda nyumba nyingine
Dawa hio Ni pesa ukiwa Na pesa nyingi unaweza hata kufunga camera kwenye nyumba bila wenyewe kujua,ukaunda na danguro kubwa lenye piss tupu... unahitaji hela ila ndo hivo hutazipata asilani
 
Dawa hio Ni pesa ukiwa Na pesa nyingi unaweza hata kufunga camera kwenye nyumba bila wenyewe kujua,ukaunda na danguro kubwa lenye piss tupu... unahitaji hela ila ndo hivo hutazipata asilani
Ewaaa mchawi pesa
 
Kuifanya Tz iwe nchi yenye vyama viwili vyenye nguvu
Hapo Sasa tunatakiwa tuweke vijana ambao sio wahuni smartbrain wasomi waongoze hivi vyama kina mbowe wamechuja tuweke mwenyekiti mpya ambaye anajua mambo halafu kila siku anatupia video YouTube ya Mipango ambayo nchi inatakiwa ifanye..asijifanye mpinzani Sana yeye awe anaongelea Mambo updated tu asichafue mwanasiasa yoyote wa CCM asiwataje kwa majina...baada ya mwaka atakuwa na video nyingi Sana itafika kipindi atakuwa mtu mkubwa Sana awe na uwezo mkubwa yaani watu watoke mbali kwenda kumtafuta walau aongee nao mawili matatu Tena watu ambao wanajua pesa hainunui upendo sio watu wa ma deal
 
Back
Top Bottom