Taja Mchezaji Mbovu Anayecheza Timu Kubwa

Taja Mchezaji Mbovu Anayecheza Timu Kubwa

Mimi naanza na Jesse Lingard yupo Man Utd
20220301_195110.jpg


Ubovu wa Lingaard umeupimaje
 
Lukaku kuwa chelsea ni maajab
Anatakiwa awe na andy carrol championship
 
Kibu Dennis Prosper;

................................anajiangusha angusha sana siku hizi ili apewe penalty. Msimu uliopita alipata goli moja tu.
 
Back
Top Bottom