Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mimi nafahamu ni ya championship! Imepanda lini?Na Arsenal tunaiweka kwenye timu kubwa EPL?
Mimi nafahamu ni ya championship! Imepanda lini?
Ohoo mi simo.Imagine eti tunawataja wachezaji wa Wolves na Leicester City, halafu wa Arsenal hatuwataji!
Na Arsenal tunaiweka kwenye timu kubwa EPL?
Adama Traore fundi sana nakubali ile attacking yake.Nikipewa kuongeza tamuweka yule mkata umeme wa Lescter aliecheza na Samatta Genk.
Mimi nafahamu ni ya championship! Imepanda lini?
Madison.
Ben Godfrey (beki kitasa Norwich city fc)
Nathan Ake wa AFC Bournemouth namkubali sana.
Anaitwa Ndidi. Hatari sana huyu mtu.Adama Traore fundi sana nakubali ile attacking yake.Nikipewa kuongeza tamuweka yule mkata umeme wa Lescter aliecheza na Samatta Genk.