Taja member wawili ambao unahisi ni ndugu humu

Taja member wawili ambao unahisi ni ndugu humu

duh...kisa??aisee mm huwez amini...siwez na sipend napata kichefu2 kuangalia hizo porn zenu...siwez..kwann mnanitag kwenye mambo ya giza mkuu...nitag kwenye siasa zetu na biashara mkuu...mshindwe!
Tulikua tunahitaji maoni yako tu. Maana tulihisi wewe ndiye member pekee ambaye ungewaza nje ya box
 
Back
Top Bottom