Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

Sijamuona ndugu yangu GENTAMYCINE aka Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Kwakweli Yanga sio watu wazuri kabisa
hata mimi simuoni kabisa mkuu sijui ni kile kipigo cha majuzi kutoka kwa yanga sc au labda majukumu aliko yamemzidi..!!
 
GENTAMICIN aliahidi Simba sc wakifungwa na Yanga ataukweka hadharani
halafu hili neno la kuukweka au naukweka naona huwa anapenda sana kulitumia hivi huwa lina maana gani ndugu? jamaa ana maneno ambayo akiyaleta hapa yanapokelewa na wana jamvi kwa uharaka na kuanza kutumika. naanza kuamini kuwa yawezekana jamaa akawa charismatic fella kweli
 
Back
Top Bottom