naanza na huyu rodrick alexander yupo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu nilisahau mkuu hivi huyu jamaa yuko wapi?GENTAMYCINE 😅😅
ukimaanisha kwamba kumbe kuna wale ambao wamekimbia? hebu tutajie basi angalau hata wawili watatu tu nduguNipo sijawahi kukimbia kisa tumefungwa.
hata mimi simuoni kabisa mkuu sijui ni kile kipigo cha majuzi kutoka kwa yanga sc au labda majukumu aliko yamemzidi..!!Sijamuona ndugu yangu GENTAMYCINE aka Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Kwakweli Yanga sio watu wazuri kabisa
Embu niache charismatic fella 😅😅halafu nilisahau mkuu hivi huyu jamaa yuko wapi?
ndugu hii post yako imenifanya niangue sana kicheko hapa nilipo kwani yawezekana ukawa umesema ukweli kamiliTupo kwa michepuko, tunapotezea maumivu, soon tutaonekana msijali 🤒😎
halafu hili neno la kuukweka au naukweka naona huwa anapenda sana kulitumia hivi huwa lina maana gani ndugu? jamaa ana maneno ambayo akiyaleta hapa yanapokelewa na wana jamvi kwa uharaka na kuanza kutumika. naanza kuamini kuwa yawezekana jamaa akawa charismatic fella kweliGENTAMICIN aliahidi Simba sc wakifungwa na Yanga ataukweka hadharani
😂😂 ndo ukweli wenyewe huu mkuundugu hii post yako imenifanya niangue sana kicheko hapa nilipo kwani yawezekana ukawa umesema ukweli kamili
Huyu ndugu yangu Kuna Uzi alisema baada ya Ile mechi atakuwa sehemu ambayo Haina network. Hivyo naamini hajakimbia bali ni tatizo la sehemu aliyopoSijamuona ndugu yangu GENTAMYCINE aka Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Kwakweli Yanga sio watu wazuri kabisa
ndiyo nani huyu ndugu?Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer, nadhani ushamjua