Nimesaidia tu kufikisha ujumbe..πMkuu unazidi kuchochea moto??π€£π€£π€£
Tena na hivi leo ni weekend, bwana Max ataita mods wote af awaambie wapige kama vita ya Ukraine. He is gonna be like " hawa watu wanaulizia ban? Inaonekana hawako serious na hawaogopi. Piga ban kama 10 hivi chap chap tupunguze kasi".Nimesaidia tu kufikisha ujumbe..π
Kula ipi ni ipi...maanake izi mbili zimenchanganya.Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige kula kwa wingi tuone Nani anaongoza
Hii mahari ni ipi....???Salaaam Wana JF
Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahari popote Lkn pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo
Mi ban nishastaafu kuna kipindi mpk nilikoma aisee! Nilipewa onyo kali sana kucheza na moderators maana Kuna kitu niliwasingiziaga nikala ban na nikapewa vichambo vyangu so nimeamua if you can't fight them join them..πTena na hivi leo ni weekend, bwana Max ataita mods wote af awaambie wapige kama vita ya Ukraine. He is gonna be like " hawa watu wanaulizia ban? Inaonekana hawako serious na hawaogopi. Piga ban kama 10 hivi chap chap tupunguze kasi".
And mods gon say, "ndio mkuu". After hapo, woote tunajikuta tuko na popoma mkekani anatueleza jinsi ya kusurvive ukiwa na ban
π€π€π€ kwaio kumbe we pia unashiriki kunyooshea kidole watu wanaostahili kupigwa ban?so nimeamua if you can't fight them join them..π
Mimi nawaonyesha tu komenti wanazotakiwa waziangalie kwa upana sasa wao wakipiga ban hilo ni swala lao halipo ndani ya uwezo wangu..!π€π€π€ kwaio kumbe we pia unashiriki kunyooshea kidole watu wanaostahili kupigwa ban?
π€£π€£π€£π€£ sawa mkuu. Na kwenye uzi inabd waondoe jina la popoma maana ameachiwa huruMimi nawaonyesha tu komenti wanazotakiwa waziangalie kwa upana sasa wao wakipiga ban hilo ni swala lao halipo ndani ya uwezo wangu..!
Kwani ungesema tu kuwa Mla BAN maarufu JamiiForums GENTAMYCINE amerejea Jamvini ungepungukiwa nini mpaka Uzunguke hivi?Salaaam Wana JF
Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahari popote Lkn pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo
Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige kula kwa wingi tuone Nani anaongoza [emoji23][emoji23][emoji23]
Naanza Mimi
1. Genta ( popoma)
2.
3.
Hata na zile BAN za Chuki, Wivu, Kukomolewa na Kutafutiwa kwa Makusudi?Inabidi sasa hv mtu akipigwa ban tuonyeshwe wazi kua flani kapigwa ban na kosa lake specific ni hili hapa. Tena kwa hii interface mpya waweke kipengele cha "members with ban" tuwe tunaenda kuona na kujua kosa lao.