Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaaam wana JF,

Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahali popote lakini pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo.

Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige kura kwa wingi tuone nani anaongoza. [emoji23][emoji23][emoji23]

Naanza mimi

1. Genta ( popoma)
2.
3.
 
Inabidi sasa hv mtu akipigwa ban tuonyeshwe wazi kua flani kapigwa ban na kosa lake specific ni hili hapa. Tena kwa hii interface mpya waweke kipengele cha "members with ban" tuwe tunaenda kuona na kujua kosa lao.
 
Nimesaidia tu kufikisha ujumbe..😂
Tena na hivi leo ni weekend, bwana Max ataita mods wote af awaambie wapige kama vita ya Ukraine. He is gonna be like " hawa watu wanaulizia ban? Inaonekana hawako serious na hawaogopi. Piga ban kama 10 hivi chap chap tupunguze kasi".
And mods gon say, "ndio mkuu". After hapo, woote tunajikuta tuko na popoma mkekani anatueleza jinsi ya kusurvive ukiwa na ban
 
Tena na hivi leo ni weekend, bwana Max ataita mods wote af awaambie wapige kama vita ya Ukraine. He is gonna be like " hawa watu wanaulizia ban? Inaonekana hawako serious na hawaogopi. Piga ban kama 10 hivi chap chap tupunguze kasi".
And mods gon say, "ndio mkuu". After hapo, woote tunajikuta tuko na popoma mkekani anatueleza jinsi ya kusurvive ukiwa na ban
Mi ban nishastaafu kuna kipindi mpk nilikoma aisee! Nilipewa onyo kali sana kucheza na moderators maana Kuna kitu niliwasingiziaga nikala ban na nikapewa vichambo vyangu so nimeamua if you can't fight them join them..😅
 
Mimi nawaonyesha tu komenti wanazotakiwa waziangalie kwa upana sasa wao wakipiga ban hilo ni swala lao halipo ndani ya uwezo wangu..!
🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu. Na kwenye uzi inabd waondoe jina la popoma maana ameachiwa huru
 
Salaaam Wana JF

Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahari popote Lkn pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo

Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige kula kwa wingi tuone Nani anaongoza [emoji23][emoji23][emoji23]

Naanza Mimi

1. Genta ( popoma)
2.
3.
Kwani ungesema tu kuwa Mla BAN maarufu JamiiForums GENTAMYCINE amerejea Jamvini ungepungukiwa nini mpaka Uzunguke hivi?

au unadhani sijui kuwa huu Uzi wako Umeuanzisha Makusudi tena dakika 60 zilizopita tu baada ya kuona ID hii ya GENTAMYCINE ipo Hewani?

Usihofu kwakuwa Lengo lako Kuu katika huu Uzi ni Kunilenga Mimi nakuhakikishia kuwa utapata Wachangiaji wengi kwani Lionel Messi wa JamiiForums amerudi ( nimerudi ) kutoka Kifungoni ( BANNED )

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" and the Hated Zanaki, Makuwa and Tutsi Genius.
 
Back
Top Bottom