Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Inabidi sasa hv mtu akipigwa ban tuonyeshwe wazi kua flani kapigwa ban na kosa lake specific ni hili hapa. Tena kwa hii interface mpya waweke kipengele cha "members with ban" tuwe tunaenda kuona na kujua kosa lao.
Hii itarahisisha kazi.....ingawa kwa sisi wakulungwa tunajua tu,,
 
Popoma ni Kama Russia....sunction za ban hazijawahi mu~affect[emoji3][emoji3]
 
Mi ban nishastaafu kuna kipindi mpk nilikoma aisee! Nilipewa onyo kali sana kucheza na moderators maana Kuna kitu niliwasingiziaga nikala ban na nikapewa vichambo vyangu so nimeamua if you can't fight them join them..[emoji28]
Naongezea hapa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukishindana na mamlaka utaumia!!!!!
 
Professor genta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…