Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kosa gani...Subiri siku ule ban[emoji23][emoji23]
Now yupo mmoja....labda waongezeke baadayeMwishoni mtaanzisha uzi wa idadi ya mapopoma humu
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuu.Mahali mkuu
Hapo nimekuelewa kamanda. Tuko pamoja.Typing error mkuu....nilimaanisha kura
Huyu Smart911 hawezi kula ban kirahisi maake comments zake nyingi ni za "ngoja waje kukupa mwongozo..."Subiri siku ule ban[emoji23][emoji23]
Salaaam Wana JF
Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahali popote Lkn pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo
Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige kura kwa wingi tuone Nani anaongoza [emoji23][emoji23][emoji23]
Naanza Mimi
1. Genta ( popoma)
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer halafu Usichukiwe hasa Afrika na Uswahilini.Mkuu, huwa unapigwa ban unapochangia nyuzi zipi? Mbona nyuzi zangu za mapenzi huwa nafunguka mpaka maneno machafu na sijawahi kulimwa ban? Au huwa unamtusi mama [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukibarikiwa Shani ( Tunu ) nyingi na Mwenyezi Mungu huwezi kukosa Kuchukiwa na Waafrika hasa Waswahili.
Dada@Rebeca 83 huwa ana madini sana jukwaa la siasa na hoja mchachanganyiko kuanzia nyuzi mpaka comments zake ila ishu yake kama ya popoma mara nyingi kuna watu maalumu kila siku wanamshambulia kwa maneno mabaya hata akizungumza jambo zuri na yeye haweza kuzuia hasira zake hapo ndipo anaingia kwenye mdomo wa Mamba na kula BANBila shaka huyu mdada siku tumtafute ....awekwe hot chamber ( kikaangoni)..
Daaah Kuna shida mahali.....wahuni sio watu[emoji23][emoji23] wanaweza kukutoa kwenye rail ili ule banDada@Rebeca 83 huwa ana madini sana jukwaa la siasa na hoja mchachanganyiko kuanzia nyuzi mpaka comments zake ila ishu yake kama ya popoma mara nyingi kuna watu maalumu kila siku wanamshambulia kwa maneno mabaya hata akizungumza jambo zuri na yeye haweza kuzuia hasira zake hapo ndipo anaingia kwenye mdomo wa Mamba na kula BAN
Kuna mzuri nilikuta anatukanana haters baada ya kuanzisha personal attack kwake mpaka aibu niliona mimi mwanamke kutukana vile japo alichokozwa .Mpaka leo yupo kifungoni kuna siku alidai mods wafute akaunti yake kea kuona anaonewa View attachment 2353969