Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Umetumwa na Nape?
 
Mkuu, huwa unapigwa ban unapochangia nyuzi zipi? Mbona nyuzi zangu za mapenzi huwa nafunguka mpaka maneno machafu na sijawahi kulimwa ban? Au huwa unamtusi mama [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer halafu Usichukiwe hasa Afrika na Uswahilini.
 
Bila shaka huyu mdada siku tumtafute ....awekwe hot chamber ( kikaangoni)..
Dada@Rebeca 83 huwa ana madini sana jukwaa la siasa na hoja mchachanganyiko kuanzia nyuzi mpaka comments zake ila ishu yake kama ya popoma mara nyingi kuna watu maalumu kila siku wanamshambulia kwa maneno mabaya hata akizungumza jambo zuri na yeye haweza kuzuia hasira zake hapo ndipo anaingia kwenye mdomo wa Mamba na kula BAN

Kuna mzuri nilikuta anatukanana haters baada ya kuanzisha personal attack kwake mpaka aibu niliona mimi mwanamke kutukana vile japo alichokozwa .Mpaka leo yupo kifungoni kuna siku alidai mods wafute akaunti yake kea kuona anaonewa
 
Daaah Kuna shida mahali.....wahuni sio watu[emoji23][emoji23] wanaweza kukutoa kwenye rail ili ule ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…