koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Haupo serious mkuumalafyale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haupo serious mkuumalafyale
Anzisha nyingineHaya nani kanogesha zaidi mwaka huu 2020
FortalezaHaya nani kanogesha zaidi mwaka huu 2020
Hivi PTER yupo wapiMkuu kwahabari za mpira wa miguu pale ulaya kuna hawa
Fortaleza
Mkwawa
Damusin
Mc cane
Aaron arsenal
PTER
King ngwaba
Don clericuzio
Ollachuga
Penilson
Khantwe zile animation zake zilinogesha soka japo sahizi simuoni sana
Gang chomba wa AC millan jamaa anaielewa sana millan
Kibongobongo gentamycine anajitahidi sana ila wapo wengi sana wanashukaga data sio za nchi hii alafu wanatulia tuli kuangalia uelekeo
Shemela Shadeeya.Fortaleza
Ghatwaz
Frank Wanjiru
Shadeeya
Okwi Boban Sunzu (Haji Manara wa JF)
Asante mtani, Yanga ni ile ile tofauti ni Jezi Mpya tu [emoji2957]Fortaleza
Ghatwaz
Frank Wanjiru
Shadeeya
Okwi Boban Sunzu (Haji Manara wa JF)
MosDef Kaadimika sana. Kuna Captain Marvelous jamaa yangu huyu sijawahi kuona akichangia uzi mwingine wowote hapa JF zaidi ya ule wa LiverpoolKuna Huyu mwamba wa jukwaa la Liverpool wakuitwa MosDef Huyu jamaa n kwikwi kwa analysis zake
Asee nimezunguka magroup mengi ila MosDef jamaa anaujua mpira asee mwamba sjaona Kama yeyeMosDef Kaadimika sana. Kuna Captain Marvelous jamaa yangu huyu sijawahi kuona akichangia uzi mwingine wowote hapa JF zaidi ya ule wa Liverpool
Hatari sana huyo jamaa. This week nimemiona kwenye ule uzi nadhani amerudi. Nenda kacheki posts za Jumatatu utaona ali postAsee nimezunguka magroup mengi ila MosDef jamaa anaujua mpira asee mwamba sjaona Kama yeye
Sijui Yuko wapi huyu mwamba kwa Sasa
Pamoja ndugu thanks for the shout out.MosDef Kaadimika sana. Kuna Captain Marvelous jamaa yangu huyu sijawahi kuona akichangia uzi mwingine wowote hapa JF zaidi ya ule wa Liverpool