Taja members wenye tabiri za soka zenye gundu

Taja members wenye tabiri za soka zenye gundu​

👆Hapo juu ni kichwa cha uzi wako uliounzisha, cha kushangaza umeishia kupandisha nyuzi za watu na kujichekesha kama kidawa..

Kuna tofauti kubwa sana kati ya ushabiki na utabiri..

Wewe mwenyewe hapo pamoja na kuwa ni shabiki lia lia wa bwawani nina uhakika kwenye mkeka wako huwezi mtabiria kuwa YangaSC atamfunga CR Belouzdad na badala yake utabiri wako utakuwa YangaSC 1-CR Belouzdad 2.

Ila kiushabiki utabeti hapa jukwaani Yanga atashinda.
 
Taja members wenye tabiri za soka zenye gundu​

[emoji115]Hapo juu ni kichwa cha uzi wako uliounzisha, cha kushangaza umeishia kupandisha nyuzi za watu na kujichekesha kama kidawa..

Kuna tofauti kubwa sana kati ya ushabiki na utabiri..

Wewe mwenyewe hapo pamoja na kuwa ni shabiki lia lia wa bwawani nina uhakika kwenye mkeka wako huwezi mtabiria kuwa YangaSC atamfunga CR Belouzdad na badala yake utabiri wako utakuwa YangaSC 1-CR Belouzdad 2.

Ila kiushabiki utabeti hapa jukwaani Yanga atashinda.
Kolo mnahasira
 
Back
Top Bottom