mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penye uzia penyeza rupia.
Wahenga wanahamasisha rushwa hapa
Hiyo ni namna ya uandishi lakini ni HAKI YAKE MPENI MNYONGE,HALAFU MKITAKA MNYONGENI.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hivi mtu akinyongwa Akafa, hiyo haki yake ataipata kaburini?
Kutangulia si kufika mkuu,njiani kuna mengi.Wa mwisho huwa wa kwanza.. Hapa wahenga walichemka..
Whatever wherever but mhenga alisema hivyo.Sheikh wangu hii ni ya wahenga wa Pemba na Mombasa.
Kusingekuwa na Mwendokasi
Tuorodheshe misemo ambayo haina tija kwa jamii ya sasa.
Samahanini wahenga;Mi naanza
Wa juu mngoje chini.
Nguo ya kuazima haisitiri mat*k*
Polepole ndo mwendo
Mtegemea vya ndugu hufa maskini
Kikulacho ki nguoni mwako
Kuna msemo wa hivi kutoka kwa wahenga?