Taja misemo ya wahenga isiyo na tija

Wa mwisho huwa wa kwanza.. Hapa wahenga walichemka..
Walikuwa sahihi sana kwani we hujawahi kuona gwaride
Kamanda akisema"...... nyumaaaaaaas geuka....."
Wa mwisho huwa wakwanza

sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
 
ndio hivyo ila sasa bila huruma ya kumuamisha hapa na pale we unadhani mbuzi atashiba vyema?
Hahaha labda lakini hii misemo haipo deep kama unavyodhani (mpaka mbuzi ashibe), ipo na simple logic tu kama nilivyoelezea,

Mbuzi anaeza kulishwa kwa njia nyingi tu kama kupelekewa majani akiwa zizini au akaachiwa tu bila kufungiwa kamba mahali lakini msemo haukuelezea kwa aina hizo zote za malisho ya mbuzi, imetarget kamba kwa hiyo simple logic lakini ina maana kubwa kwenye maisha yetu ya kila siku.
 
upo sahihi mkuu hii misemo ina maana kwenye maisha yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…