Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ndio hivyo ila sasa bila huruma ya kumuamisha hapa na pale we unadhani mbuzi atashiba vyema?Sasa mchungaji si anamfunga mbuzi wake penye majani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio hivyo ila sasa bila huruma ya kumuamisha hapa na pale we unadhani mbuzi atashiba vyema?Sasa mchungaji si anamfunga mbuzi wake penye majani.
Walikuwa sahihi sana kwani we hujawahi kuona gwarideWa mwisho huwa wa kwanza.. Hapa wahenga walichemka..
Hahaha labda lakini hii misemo haipo deep kama unavyodhani (mpaka mbuzi ashibe), ipo na simple logic tu kama nilivyoelezea,ndio hivyo ila sasa bila huruma ya kumuamisha hapa na pale we unadhani mbuzi atashiba vyema?
upo sahihi mkuu hii misemo ina maana kwenye maisha yetuHahaha labda lakini hii misemo haipo deep kama unavyodhani (mpaka mbuzi ashibe), ipo na simple logic tu kama nilivyoelezea,
Mbuzi anaeza kulishwa kwa njia nyingi tu kama kupelekewa majani akiwa zizini au akaachiwa tu bila kufungiwa kamba mahali lakini msemo haukuelezea kwa aina hizo zote za malisho ya mbuzi, imetarget kamba kwa hiyo simple logic lakini ina maana kubwa kwenye maisha yetu ya kila siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Penye uzia penyeza rupia.
Wahenga wanahamasisha rushwa hapa