ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sababu?au sababu IPO wazi?Chato!!
Ah wapi dar sio miyeyusho dar Ni mkoa wa ndoto za watu wengiDar sifiki ng'o, nani anataka kuibiwa saiz... Manake nasikia huko waty ni wezi mpaka wazee
Wanaume wa Dar utawajua tu. Wanaokamuliwa Juice ya miwa na kupaka muhindi ndimu na pilipiliAh wapi dar sio miyeyusho dar Ni mkoa wa ndoto za watu wengi
Chato!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lindi aiseee....!! Siwezi kwenda ntalishwa samaki Nchangaa buree vilee napenda nyamaa hasa mishakaki