ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Tanzania tuna mikoa mingi na kila mkoa una tamaduni zake na historia yake ambayo inavutia.kuna watu ambao tunapenda kusafiri kutalii mikoa hiyo ili kujionea yanayosemwa kuhusu mkoa huo.lakini ipo mikoa ambayo huna habari nayo kabisa yaani huoni hata ikikushawishi aidha kikazi au biashara au hata kuifikia.mimi mkoa wa Lindi sitaki hata kujua Kama nitaenda wa pili tabora